In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
eBook
Mwongozo wa Lishe wa Magonjwa ya Mifupa
MWONGOZO WA LISHE KWA AFYA YA MIFUPA NA VIUNGO
Lengo: Kupunguza maumivu, kupunguza uchochezi, kuimarisha mifupa na kulinda viungo kwa mtindo sahihi wa lishe na maisha.
FAIDA KUU
1. Kupunguza Maumivu ya Mifupa na Viungo
- Lishe sahihi husaidia kupunguza maumivu kwa njia ya asili bila mzigo wa dawa nyingi.
2. Kupunguza Uvimbe na Uchochezi (Inflammation)
- Vyakula vyenye antioxidants na mafuta mazuri huchangia kupunguza uvimbe wa viungo.
3. Kuimarisha Gegedu (Cartilage)
- Husaidia kulinda na kusaidia afya ya gegedu ili viungo visiharibike haraka.
4. Kusawazisha Madini Muhimu
- Huchangia uwiano wa calcium, vitamin D na magnesium kwa uimara wa mifupa.
5. Kuimarisha Mifupa (Osteoporosis Support)
- Husaidia kuongeza nguvu na uimara wa mifupa, hasa kwa wenye mifupa dhaifu.
6. Kupunguza Kukakamaa kwa Viungo
- Husaidia kupunguza stiffness asubuhi au wakati wa baridi.
7. Kudhibiti Uric Acid (Gout)
- Huchangia kudhibiti kiwango cha uric acid na kupunguza maumivu ya gout.
8. Kuboresha Mzunguko wa Damu
- Husaidia usambazaji wa virutubisho kwenye mifupa na viungo.
9. Kusaidia Kupunguza Uzito
- Kupunguza uzito hupunguza mzigo kwenye magoti, nyonga na mgongo.
10. Kuongeza Uhamaji na Uwezo wa Kazi
- Husaidia kutembea, kusimama na kufanya shughuli bila maumivu makali.
11. Kupunguza Utegemezi wa Dawa za Maumivu
- Lishe sahihi huchangia kupunguza hitaji la dawa za maumivu kwa muda mrefu (chini ya ushauri wa kitaalamu).
12. Kuimarisha Misuli na Mishipa
- Husaidia afya ya misuli, mishipa na tishu zinazoshikilia mifupa.
UFASIRI WA KITAALAMU
Matatizo ya mifupa na viungo mara nyingi huhusishwa na uchochezi wa muda mrefu, upungufu wa madini, uzito kupita kiasi na mzunguko hafifu wa damu. Mwongozo huu hulenga chanzo cha tatizo kwa lishe na mtindo wa maisha.
MAPENDEKEZO YA MATUMIZI
- Fuata mwongozo wa lishe kila siku bila kuruka.
- Ongeza vyakula vyenye calcium, vitamin D, magnesium, protini bora na omega-3.
- Kunywa maji ya kutosha, pata mwanga wa jua (vitamin D) na fanya mazoezi ya kunyumbua viungo.
Kwa matokeo bora na ya haraka, tumia Mwongozo wa Lishe pamoja na Boneflex Package kwa mpango wa siku 90 mfululizo.
MUHIMU KUFAHAMU
- Mwongozo wa lishe ni msaada wa afya, si mbadala wa matibabu ya hospitali kwa maumivu makali, kuvunjika kwa mfupa, au arthritis kali.
- Wenye gout, osteoporosis, au wanaotumia dawa za mifupa wapate ushauri wa mtaalamu kabla ya kuanza programu.
Au wasiliana: +255 767 716 093 (Simu/WhatsApp)
TSH 10,000
- Category eBook
- Availability 99 Units
- SKU PROD-cd8619a1-8eb7-4505-bb43-0c44dd540efb