Mwongozo wa Lishe wa Magonjwa ya Uzazi wa Mwanamke na Mwanaume
In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
eBook

Mwongozo wa Lishe wa Magonjwa ya Uzazi wa Mwanamke na Mwanaume

4.9 (128 Reviews)

MWONGOZO WA LISHE KWA MAGONJWA YA UZAZI (MWANAMKE & MWANAUME)

Msingi wa kurejesha homoni, kuimarisha uzazi na kuongeza nafasi ya kupata mtoto kwa njia ya asili


Faida Kuu za Mwongozo wa Lishe ya Uzazi

1. Kusawazisha Homoni

Lishe sahihi husaidia kurekebisha viwango vya estrogen, progesterone na testosterone, kupunguza dalili za hormonal imbalance.


2. Kuboresha Mzunguko wa Hedhi

Husaidia kurejesha hedhi kuwa ya kawaida, kupunguza maumivu makali, damu nyingi na mzunguko usioeleweka.


3. Kuongeza Uwezo wa Kushika Ujauzito

Huandaa mwili kwa ovulation bora, kuboresha mazingira ya uzazi na kuongeza nafasi ya mimba.


4. Kuboresha Afya ya Mbegu (Mwanaume)

Huongeza idadi, uimara na uhai wa mbegu, kuboresha uwezo wa uzazi.


5. Kupunguza Uvimbe wa Uzazi

Husaidia kudhibiti fibroids, cyst, maumivu ya nyonga na uvimbe wa mfumo wa uzazi.


6. Kuongeza Hamu ya Tendo la Ndoa

Hurejesha nguvu za mwili, libido na afya ya mahusiano ya wanandoa.


7. Kupunguza Msongo wa Mawazo

Lishe bora huimarisha akili, usingizi na homoni za stress ambazo huathiri uzazi.


8. Kuimarisha Kinga ya Mwili

Hupunguza maambukizi ya mara kwa mara kama UTI na infections za uzazi.


9. Kudhibiti Uzito na Mafuta Tumboni

Uzito sahihi huongeza mafanikio ya uzazi na kuboresha homoni.


10. Matokeo ya Kudumu bila Madhara

Lishe hutibu chanzo cha tatizo, si kuficha dalili – huweka msingi imara wa afya ya uzazi.


Hitimisho

Mwongozo wa lishe huweka msingi thabiti wa afya ya uzazi kwa wanandoa wote wawili, kusaidia homoni, mbegu, ovulation na mazingira ya ujauzito kwa njia salama na ya asili.


KUMBUKA

Kwa matokeo bora na ya haraka:

  • Fuata Mwongozo wa Lishe ya Uzazi kwa umakini
  • Tumia CPE Natura-Ceutical (kwa Mwanamke) au Rijali Kit (kwa Mwanaume) kwa miezi 3 mfululizo kulingana na ushauri wa wataalamu



Piga au WhatsApp: +255767716093

TSH 10,000

  • Category eBook
  • Availability 100 Units
  • SKU PROD-421ac790-f963-47a6-a4da-871d3a0930d5