In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
eBook
Mwongozo wa Lishe wa Kutoa Sumu Mwilini
MWONGOZO WA LISHE YA KUTOA SUMU MWILINI (DETOX NUTRITION GUIDE)
Lengo: Kuboresha afya ya mwili kwa ujumla kupitia lishe inayosaidia kazi za ini, figo, utumbo na mfumo wa homoni.
FAIDA KUU
1. Kusafisha Mwili
- Mwongozo unaelekeza vyakula na vinywaji vinavyosaidia kazi za ini, figo na mmeng’enyo, kusaidia mwili kuondoa uchafu wa kimetaboli na taka mwilini.
2. Kuongeza Nguvu za Mwili
- Kupungua uchovu, kuongezeka stamina na wepesi wa mwili baada ya kuboresha usagaji na ufyonzwaji wa virutubisho.
3. Kusaidia Kupunguza Uzito
- Lishe yenye mpangilio huchangia kupungua mafuta yasiyohitajika na kitambi kwa kuboresha matumizi ya nishati na mmeng’enyo.
4. Kuboresha Afya ya Ngozi
- Msaada kwa ngozi kuwa safi na yenye mng’ao, kupungua madoa na dalili za uchovu wa ngozi.
5. Kuimarisha Mmeng’enyo wa Chakula
- Hupunguza gesi, kuvimbiwa na kuboresha uwiano wa sukari kwa kusaidia tumbo kufanya kazi kwa ufanisi.
6. Kuboresha Utendaji wa Ubongo
- Kuongezeka umakini, kupungua uchovu wa akili na kusaidia usingizi bora.
7. Kuimarisha Kinga ya Mwili
- Vyakula vyenye virutubisho huchangia mwili kupambana na maambukizi na kuimarisha immune system.
8. Kusawazisha Homoni
- Husaidia homoni kufanya kazi kwa uwiano, kusaidia mzunguko wa hedhi, libido na afya ya uzazi.
9. Kupunguza Harufu Mbaya ya Mwili
- Kuboresha mmeng’enyo na kuondoa taka huchangia kupungua harufu zisizopendeza za mwili.
10. Afya ya Moyo na Mishipa
- Mwongozo unapendekeza vyakula vinavyosaidia kusafisha damu na kudhibiti mafuta, kusaidia afya ya moyo.
USHAURI WA KITAALAMU
- Fuata mwongozo kwa nidhamu pamoja na maji ya kutosha, usingizi bora na mazoezi mepesi.
- Wenye magonjwa sugu (kisukari, presha, figo, ini) wanashauriwa kupata ushauri kabla ya kuanza mpango wowote wa lishe.
- Matokeo hutegemea hali ya afya, umri na ufuataji sahihi wa mwongozo.
MAPENDEKEZO YA ZIADA
Kwa ufanisi zaidi, zingatia Mwongozo wa Lishe + Natural Detox Pack kutoka Okoa Mwili kwa mpango kamili wa kusafisha mwili na kuboresha afya kwa ujumla.
Au wasiliana: +255 767 716 093 (Simu/WhatsApp)
TSH 10,000
- Category eBook
- Availability 100 Units
- SKU PROD-4a2c176b-5a7f-470c-abda-6e3506d8751d