Mwongozo wa Lishe wa Magonjwa ya Figo
In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
eBook

Mwongozo wa Lishe wa Magonjwa ya Figo

4.9 (128 Reviews)

MWONGOZO WA LISHE KWA WAGONJWA WA MAGONJWA YA FIGO

(Kidney Nutrition Guide – Kudhibiti, Kulinda na Kuimarisha Afya ya Figo)


Faida Kuu za Mwongozo wa Lishe ya Figo

1. Kudhibiti Chumvi na Sodiamu

Hupunguza shinikizo la damu na kuzuia kujaa kwa maji mwilini, hivyo kupunguza mzigo kwa figo.


2. Kudhibiti Kiwango cha Protini

Husaidia kutumia protini kwa kiwango sahihi bila kuilemea figo, na hupunguza kasi ya uharibifu wa figo.


3. Kupunguza Sumu Mwilini (Detox Support)

Lishe maalum husaidia figo kuondoa taka na metabolites hatarishi kwa ufanisi zaidi.


4. Kudumisha Nguvu na Kinga ya Mwili

Hutoa vitamini na madini muhimu kusaidia mwili kuwa na nguvu na kinga bila kuathiri figo.



5. Kudhibiti Sukari na Shinikizo la Damu

Mwongozo husaidia kupanga milo inayodhibiti sukari na BP – sababu kuu zinazoathiri figo.


6. Kupunguza Kasi ya Ugonjwa wa Figo Kuendelea

Lishe sahihi hupunguza progression ya ugonjwa na kusaidia figo kufanya kazi vizuri zaidi.


7. Kupunguza Uvimbe na Maji Mwilini

Husaidia kuondoa retention ya maji, kupunguza kuvimba miguu, uso na mwili.


8. Kuboresha Usawa wa Madini Mwilini

Husaidia kudhibiti potassium, phosphorus na electrolytes muhimu kwa afya ya figo.



9. Kuboresha Mmeng’enyo na Afya ya Mwili

Lishe husaidia mfumo wa mmeng’enyo kufanya kazi vizuri bila kuathiri figo.


10. Rahisi Kufuata

Mwongozo una mpangilio wa milo ya kila siku unaorahisisha utekelezaji bila kuchanganya.


Ushauri Muhimu

Kwa matokeo bora katika kudhibiti na kuboresha afya ya figo:

  • Fuata mwongozo huu wa lishe kwa umakini
  • Epuka chumvi nyingi, vyakula vya kusindikwa na sukari nyingi
  • Kunywa maji kwa kiwango kilichoshauriwa na mtaalamu
  • Fanya uchunguzi wa figo mara kwa mara


Pendekezo la Tiba:

Kwa msaada zaidi, zingatia mwongozo huu pamoja na Figo Safe Pack kwa miezi 3 mfululizo kulingana na ushauri wa wataalamu wetu.


Piga au WhatsApp: +255767716093

TSH 10,000

  • Category eBook
  • Availability 100 Units
  • SKU PROD-3d64e6eb-87b9-46f8-a201-01f8efd81a9f