Out of Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Functional Beverage (Virutubisho Lishe vya Vinywaji Unga/Vinywaji)
Liven Alkaline Coffee- Latte
LIVEN ALKALINE COFFEE LATTE (AIM GLOBAL)
Aina: Kahawa ya Latte yenye mchanganyiko wa alkaline minerals
Lengo: Kusaidia nishati ya mwili, mmeng’enyo, kinga, na ustawi wa jumla kama sehemu ya mtindo bora wa maisha.
MAELEZO YA BIDHAA
- Packaging: Pack 1 = sticks 15 (poda ya latte, rahisi kuandaa)
- Ladha laini ya latte (creamy) bila sukari nyingi.
- Inafaa kunywa asubuhi au mchana kwa nguvu na focus.
JINSI YA KUTUMIA
- Weka sachet 1 kwenye kikombe.
- Mimina maji ya moto (au maziwa kidogo kwa latte creamy).
- Changanya hadi ipate mousse laini.
- Kunywa polepole, kikombe 1 kwa siku.
- Kwa matokeo bora: fuata mpango wa siku 90 mfululizo.
FAIDA KUU
1. Msaada kwa Uwiano wa pH
- Huchangia kupunguza uchochezi wa mwili na kusaidia ustawi wa ndani.
2. Kuongeza Nishati
- Husaidia kupunguza uchovu na kutoa nguvu ya kudumu siku nzima.
3. Kuimarisha Kinga
- Huchangia uwezo wa mwili kupambana na maambukizi ya mara kwa mara.
4. Kuboresha Mmeng’enyo
- Hupunguza kujaa tumbo, gesi na kuvimba.
5. Msaada kwa Kupunguza Uchochezi
- Alkaline minerals na antioxidants huchangia ulinzi wa seli.
6. Afya ya Ini na Figo
- Huchangia kusaidia kazi za ini na figo inapochanganywa na lishe sahihi na maji ya kutosha.
7. Antioxidants
- Husaidia kupunguza uharibifu wa seli unaosababishwa na radicals huru.
8. Mzunguko Bora wa Damu
- Huchangia mtiririko mzuri wa damu kwa afya ya moyo na misuli.
9. Ladha ya Latte Creamy
- Inafaa kwa wanaopenda kahawa laini bila kuongeza sukari nyingi.
10. Mpango wa Siku 90
- Msaada kwa nishati thabiti, mmeng’enyo bora na ustawi wa jumla.
MATOKEO YANAYOTARAJIWA (SIKU 90)
- Nishati zaidi na kupungua uchovu.
- Mmeng’enyo kuboreka na kupungua kujaa tumbo.
- Ngozi kuonekana yenye mwangaza, mwili kuwa mchangamfu.
- Kinga kuimarika na ustawi wa jumla kuboreka.
USHAURI WA KITAALAMU
- Epuka kuongeza sukari nyingi.
- Changanya na lishe bora, maji ya kutosha, usingizi na mazoezi mepesi.
- Wenye presha, kisukari, vidonda vya tumbo, au wanaotumia dawa za hospitali wapate ushauri kabla ya matumizi.
- Epuka kunywa karibu na muda wa kulala ikiwa unaathiriwa na kafeini.
BEI ZA PROGRAMU
- Siku 15: Tsh 60,000
- Mwezi 1: Tsh 180,000
- Miezi 3: Tsh 540,000
Au wasiliana: +255 767 716 093 (Simu/WhatsApp)
TSH 60,000
Currently Out of Stock
- Category Functional Beverage (Virutubisho Lishe vya Vinywaji Unga/Vinywaji)
- Availability 0 Units
- SKU PROD-89d8837e-dc88-44d3-8f90-0a09a35bdebc