Keopi Glow
In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Functional Beverage (Virutubisho Lishe vya Vinywaji Unga/Vinywaji)

Keopi Glow

4.9 (128 Reviews)

KOPI GLOW – Kinywaji cha Asili kwa Afya ya Mwili na Ngozi


Packaging ya Bidhaa

  • Muonekano: Pakiti ya rangi Nyeusi na Dhahabu yenye muonekano wa kisasa
  • Kiasi: Pakiti 1 ina kilo 1 ya unga wa Kopi Glow
  • Rahisi kubeba, kuhifadhi na kutumia nyumbani au kazini


Maelezo ya Bidhaa

Kopi Glow ni kinywaji cha asili kinachosaidia kusafisha mwili, kuboresha mmeng’enyo, kuimarisha ngozi, na kusaidia udhibiti wa uzito. Imeundwa kwa matumizi ya kila siku kwa kipindi cha siku 90 mfululizo ili kuleta mabadiliko ya kudumu kwenye mwili.


Jinsi ya Kutumia

  • Changanya kijiko 1 cha Kopi Glow na maji ya moto au maziwa kidogo
  • Kunywa kikombe 1 asubuhi na 1 jioni
  • Tumia kwa siku 90 mfululizo kwa matokeo bora
  • Kunywa maji ya kutosha na fuata lishe yenye uwiano


Faida za Kopi Glow

  1. Husaidia kuondoa sumu mwilini na kuimarisha kinga
  2. Husaidia kupunguza mafuta mwilini na kitambi
  3. Huongeza nguvu na nishati ya mwili kwa muda mrefu
  4. Husaidia ngozi kung’aa, kuwa laini na yenye afya
  5. Huboresha afya ya nywele na kucha
  6. Husaidia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kufanya kazi vizuri
  7. Huchangia udhibiti wa cholesterol na afya ya moyo
  8. Husaidia kudhibiti uzito kwa kuongeza metabolisimu
  9. Hupunguza uchovu wa mwili na kuongeza uchangamfu
  10. Husaidia mwili kuwa safi, mwepesi na wenye afya kwa ujumla


Mapendekezo

Kopi Glow ni kinywaji cha kila siku kwa wale wanaotaka:

  • Mwili wenye afya na nguvu
  • Ngozi inayong’aa na safi
  • Kupunguza uzito na kitambi kwa njia ya asili

Matokeo bora huonekana zaidi baada ya siku 90 pamoja na lishe bora na matumizi sahihi.



Bei ya Kopi Glow

  • Siku 10: Tsh 70,000
  • Mwezi 1: Tsh 210,000
  • Miezi 3: Tsh 630,000


TSH 70,000

  • Category Functional Beverage (Virutubisho Lishe vya Vinywaji Unga/Vinywaji)
  • Availability 76 Units
  • SKU PROD-1f5f113b-b8df-4acb-9025-e1e864a5867a