TRIM TONE TEA – Chai ya Kudhibiti Uzito na Kusafisha Mwili
In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Functional Beverage (Virutubisho Lishe vya Vinywaji Unga/Vinywaji)

TRIM TONE TEA – Chai ya Kudhibiti Uzito na Kusafisha Mwili

4.9 (128 Reviews)

Maelezo

Trim Tone Tea ni chai ya asili yenye mchanganyiko wa majani na virutubisho kama Black Tea, Dried Tangerine Peel, Stevia, Honey, Garcinia Cambogia, Lotus Leaf, Perilla Leaf, Cassia Seed na Lemon. Husaidia kuongeza uchomaji wa mafuta, kuboresha mmeng’enyo wa chakula na kusaidia mwili kutoa taka/sumu.


Faida Kuu

  1. Huchochea uchomaji wa mafuta (fat metabolism)
  2. Husaidia kupunguza uzito na mafuta ya tumbo
  3. Hupunguza hamu ya kula kupita kiasi (appetite control)
  4. Huboresha mmeng’enyo wa chakula na kupunguza gesi
  5. Husaidia kusafisha mwili (detox) na kuboresha choo
  6. Hupunguza kuvimbiwa na tumbo kujaa
  7. Husaidia kusawazisha sukari na mafuta kwenye damu
  8. Huongeza nguvu na kuondoa uchovu
  9. Husaidia kupunguza uvimbe mwilini (water retention)
  10. Huchangia afya ya moyo na mishipa


Namna ya Kutumia


Loweka tea bag 1 kwenye kikombe cha maji ya moto dakika 5–7.

Kunywa vikombe 1–2 kwa siku (asubuhi na jioni).

Tumia mfululizo kwa angalau wiki 3–4 ili kuona matokeo bora.

Kunywa maji ya kutosha na zingatia lishe sahihi.


Bei: Box 1 ya siku 15 — Sh 85,000

Piga au WhatsApp: +255767716093

TSH 85,000

  • Category Functional Beverage (Virutubisho Lishe vya Vinywaji Unga/Vinywaji)
  • Availability 99 Units
  • SKU PROD-5b8c5e77-ce5c-41d1-b10d-0abdb1ba52bc