Afya Yako Ni
Kipaumbele Kwetu
Tupo kukusikiliza, kukuelewa, na kukuhudumia kwa uaminifu kupitia ushauri wa kitaalamu na suluhisho salama la kiafya, tunakuongoza kulingana na mahitaji yako halisi. Tunajali faragha yako, tunakufuatilia kwa karibu, tunakuwa nawe kila hatua ili kukusaidia kurejesha afya na ubora wa maisha yako.
About Okoa Mwili
OKOA MWILI NATURA-CEUTIC CLINIC Mahali ambapo mwili unarejeshewa mwelekeo wake wa asili. Sio kila tatizo la afya linahitaji kelele, hofu au majaribio yasiyo na mpangilio. Wakati mwingine, kinachohitajika ni uelewa sahihi wa mwili, mpangilio wa lishe unaoendana na hali halisi ya mtu, na msaada wa kitaalamu unaoheshimu safari yake binafsi ya afya. Okoa Mwili Natura-Ceutical Clinic ni kituo cha ushauri na ufuatiliaji wa afya kinacholenga chanzo cha tatizo, si dalili pekee. Tunafanya kazi na mwili—sio dhidi yake—kwa kutumia mbinu jumuishi zinazochanganya elimu ya lishe, marekebisho ya mtindo wa maisha, na virutubisho vya asili vilivyochaguliwa kwa uangalifu mkubwa. Tunatofautiana kwa sababu: -Hatutoi suluhisho la jumla; kila mpango ni wa mtu mmoja mmoja. -Hatuharakishi mwili; tunauandaa, kuusawazisha na kuurudisha kwenye mstari wake wa kazi asilia. -Hatuhubiri; tunaeleza, tunaongoza na tunafuatilia hadi mabadiliko yaonekane. Kuanzia changamoto za uzazi, homoni, mmeng’enyo, uzito, uchovu usioelezeka hadi afya ya viungo muhimu kama ini na figo—Okoa Mwili huanza kwa kusikiliza, kisha hutengeneza mfumo sahihi wa hatua unaoendana na hali ya mhusika. Hii si huduma ya mtu kujaribu na kuacha. Ni mahali pa mtu anayechoka kubahatisha, na anataka utaratibu unaoeleweka, unaopimika na unaoheshimu afya yake ya muda mrefu. Okoa Mwili si tu kliniki. Ni mshirika wa kimya anayekusaidia kurudisha udhibiti wa mwili wako—kwa utulivu, kwa mpangilio, na kwa matokeo. Mwili ukielewa nini cha kufanya, huanza kujitibu wenyewe.
Our Services
UZITO RESET 90™ – Huduma ya Usimamizi Binafsi wa Kupunguza Uzito, Kitambi & Nyama Uzembe
UZITO RESET 90™
UZITO RESET 90™ ni programu ya siku 90 ya usimamizi wa karibu kila siku inayolenga:
Kuondoa uzito mkubwaKupunguza kitambiKuimarisha umbo (nyama uzembe)Hii si dawa ya miujiza, bali ni mfumo unaofanya kazi unaozingatia:
Hali halisi ya afya yakoRatiba yako ya maishaMalengo yako binafsiUnasimamiwa hatua kwa hatua mpaka uone mabadiliko ya kweli.
✅ Usimamizi wa kila siku kwa siku 90 – hauko peke yako kwenye safari
✅ Ushauri binafsi (1:1) kulingana na afya, umri, jinsia na ratiba yako
✅ Mpango wa lishe uliobinafsishwa (vyakula vya Kitanzania vinavyopatikana kirahisi)
✅ Ujumbe wa ukumbusho & motisha kila siku
✅ Mwongozo wa maji, muda sahihi wa kula & mbinu za kuchoma mafuta
✅ Ufuatiliaji wa maendeleo (uzito, tumbo, mabadiliko ya mwili)
✅ Elimu ya tabia za kula ili matokeo yadumu muda mrefu
✅ Marekebisho ya mpango pale inapohitajika endapo afya au mazingira yatabadilika
INAWALENGA NANI?
✔ Wenye uzito mkubwa au kitambi sugu
✔ Waliokata tamaa baada ya kujaribu njia nyingi bila mafanikio
✔ Wanaotaka mabadiliko ya kweli, si ya muda mfupi
✔ Wanaohitaji msimamizi wa karibu ili wabaki kwenye mpango
MATOKEO UNAYOTARAJIA
🔥 Kupungua kwa uzito & kitambi kwa njia salama
💪 Kuimarika kwa umbo, nguvu na wepesi wa mwili
🧠 Nidhamu ya kula & uelewa wa mwili kuongezeka
♻️ Matokeo ya kudumu, si kurudi nyuma haraka
GHARAMA YA HUDUMA
💰 Tsh 50,000 tu – kwa siku 90 kamili
(Ada hii ni kwa usimamizi wa kila siku, ushauri binafsi, na ufuatiliaji wa maendeleo)
📩 Tuma ujumbe: “UZITO RESET 90”
📲 WhatsApp / Piga simu: 0767 716 093
Anza leo.
Badilisha mwili wako kwa mfumo unaokuelewa, unaokusimamia, na unaokusukuma mpaka uone matokeo.
Ushauri wa Afya- Kufika Ofisini Bila Kuchukua Tiba
Huduma hii inalenga mtu anayehitaji tathmini ya kina ya afya yake na mwongozo sahihi wa kuboresha afya na mtindo wa maisha, kwa njia salama, ya kitaalamu na ya faragha.
Ni huduma ya mtu mmoja mmoja, inayozingatia hali halisi ya mwili wako — si ushauri wa jumla.
✅ Uchunguzi wa awali wa afya
✅ Ushauri wa kina wa kiafya
✅ Mpango binafsi wa wiki 4 kulingana na mahitaji yako halisi
HUDUMA INAJUMUISHA:
📝 Fomu ya tathmini ya afya & mtindo wa maisha
— historia ya afya, lishe, usingizi, shughuli na changamoto zako
🥗 Mpango wa lishe uliobinafsishwa
— unaoendana na hali ya mwili wako na malengo yako
🏋️ Mwongozo wa mazoezi ya nguvu & uimara
— (strength & endurance) kulingana na uwezo wako
🧠 Ushauri binafsi wa kitaalamu
— kuelewa chanzo cha changamoto zako na hatua sahihi za kuchukua
📲 Follow-up ya karibu kupitia WhatsApp
— kukusaidia kutekeleza mpango kwa usahihi
🎁 Bonus: Video au sample za msaada
— kulingana na mahitaji yako binafsi
MAHALI PA HUDUMA
📍 Okoa Mwili Natura-Ceutical Clinic
Kinondoni, Dar es Salaam
GHARAMA & MALIPO
💰 Tsh 100,000 tu
💳 Malipo yanaweza kufanyika:
✔ Kwa simu
✔ Moja kwa moja ofisini
👉 Jisajili leo na chukua hatua ya kuboresha afya yako ndani ya wiki 4 kwa mwongozo sahihi.
📞 Wasiliana nasi:
+255 767 716 093
Online (Ushauri Binafsi Inbox Kwako Kwa Siku 30)
Huu ni mpango maalum wa mtu mmoja kwa mmoja (1–on–1) unaomlenga mtu anayehitaji msaada wa karibu, wa kina na wa siri kuhusu afya yake, kulingana na hali halisi ya mwili wake.
✔ Afya ya uzazi (mwanaume na mwanamke)
✔ Nguvu za kiume na utendaji wa uzazi
✔ Kupunguza uzito mkubwa & kitambi
✔ Matatizo ya ini
✔ Magonjwa ya figo
✔ Matatizo ya ngozi
✔ Matatizo ya mifupa
✔ Magonjwa ya moyo na mishipa
✔ Utendaji wa mwili na afya kwa ujumla
Kupitia mawasiliano ya mtandaoni, unapata:
🧠 Ushauri wa siri na wa faragha (1–on–1)
— bila aibu, bila hukumu, bila shinikizo
💬 Majibu ya kina ya maswali yako yote
— yakizingatia historia yako ya afya, dalili na malengo
🥗 Mpango binafsi wa tiba asili
— juisi, lishe, ratiba na dozi vinavyolingana na mwili wako na changamoto zako
📅 Ufuatiliaji wa siku 30
— kuhakikisha unaelewa mpango, unatekeleza kwa usahihi, na unaanza kuona mabadiliko halisi
LENGO LA HUDUMA
🎯 Huduma hii inalenga kutatua chanzo cha tatizo, si kuficha dalili, kwa kutumia:
✔ Elimu sahihi ya afya
✔ Lishe inayofaa mwili wako
✔ Mabadiliko ya mtindo wa maisha yanayodumu
GHARAMA & UPATIKANAJI
💰 Tsh 50,000 (USD 21) tu kwa siku 30
⏳ Nafasi ni chache kwa mwezi – watu 5 tu
(Hii ni kuhakikisha kila mshiriki anapata usimamizi wa kweli na wa karibu)
👉 Ushauri wa kweli huanza kwa kuuelewa mwili wako,
na kuchukua hatua sahihi kwa wakati sahihi.
📲 Wasiliana sasa ili kuhifadhi nafasi yako.
Featured Products
No products found
Check back soon for our latest collection.
Personal Growth Courses
UCHOVU USIOELEZEKA, UZITO UNAOKATAA KUSHUKA, NA MAGONJWA YANAYOJIRUDIA: Je, Mwili Wako Unakuomba Kutoa Sumu
Usiendelee Kujilaumu: Uzito Mkubwa Una Sababu, Na Una Suluhisho Salama na la Kudumu
Kama Ngozi Yako Inakufanya Ujihisi Mdogo na Kuogopa Kuonekana Hadharani, Soma Hii Kwanza
Kama ngozi yako imekuwa chanzo cha kukufanya ujisikie mdogo, ujisitiri kwa make-up nyingi au uogope kukutana na watu uso kwa uso, fahamu kuwa hauko peke yako. Wanawake wengi wanateseka kimya kimya kwa matatizo ya ngozi kama chunusi, madoa meusi, ukavu na kukosa mng’ao, lakini hawajui chanzo halisi cha hali hiyo. Mara nyingi hujaribu creams na sabuni mbalimbali bila kupata mabadiliko ya kudumu, hali inayoongeza kukata tamaa na kupunguza kujiamini.
Ukweli ni kwamba ngozi si suala la nje pekee; ni kioo cha afya ya ndani ya mwili wako. Mabadiliko ya homoni, lishe duni, unywaji mdogo wa maji, uchovu, na uchafu wa ndani wa mwili vina mchango mkubwa katika kuharibu afya ya ngozi. Ndiyo maana baadhi ya wanawake huona ngozi zao zinaendelea kuwa mbaya hata baada ya kutumia bidhaa nyingi za nje.
Katika makala hii, utajifunza sababu za kitabibu zinazoathiri ngozi ya mwanamke, chakula cha kula na cha kuepuka, kiwango sahihi cha maji kwa mwili wako, na jinsi ya kutumia virutubisho sahihi kuboresha ngozi kutoka ndani kwenda nje. Lengo si kukupa ahadi za haraka zisizo na msingi, bali kukupa uelewa na mwongozo wa vitendo wa kurejesha afya na mng’ao wa ngozi yako kwa njia salama na endelevu.
USIJARIBU KUSHIKA UJAUZITO KABLA HUJAPITIA HII SAFARI YA MIEZI 3
Mwongozo wa vitendo unaomwandaa mwanamke wa Kitanzania kuurekebisha mwili, kusawazisha homoni na kujiandaa kushika ujauzito haraka, salama na kwa matumaini mapya. “SAFARI YA KUANDAA MWILI, AKILI NA ROHO KWA AJILI YA UJAUZITO” Hii siyo course ya kukukimbiza kushika mimba kesho. Ni course ya kukuandaa kushika mimba kwa usalama, kudumu na kwa baraka.
What Our Clients Say
Join thousands of satisfied patients who have improved their health journey with Okoa Mwili.
Jinyakulie Package Zetu kwa Punguzo la 20%
Tunatoa huduma jumuishi za afya na lishe zinazopatikana nyumbani au kupitia vituo vyetu washirika. Huduma zetu zimejikita kwenye ushauri wa kitaalamu, ufuatiliaji wa karibu, na kuboresha afya kwa njia salama na endelevu.
Chagua Package ya Tatizo Lako Hapa