Health Plan

Kama Ngozi Yako Inakufanya Ujihisi Mdogo na Kuogopa Kuonekana Hadharani, Soma Hii Kwanza

Sababu halisi za chunusi, madoa meusi na ukavu wa ngozi kwa wanawake, na njia salama za kuanza kurekebisha tatizo lako leo.Kama ngozi yako imekuwa chanzo cha kukufanya ujisikie mdogo, ujisitiri kwa make-up…

Kama Ngozi Yako Inakufanya Ujihisi Mdogo na Kuogopa Kuonekana Hadharani, Soma Hii Kwanza

About This Course

Sababu halisi za chunusi, madoa meusi na ukavu wa ngozi kwa wanawake, na njia salama za kuanza kurekebisha tatizo lako leo.


Kama ngozi yako imekuwa chanzo cha kukufanya ujisikie mdogo, ujisitiri kwa make-up nyingi au uogope kukutana na watu uso kwa uso, fahamu kuwa hauko peke yako. Wanawake wengi wanateseka kimya kimya kwa matatizo ya ngozi kama chunusi, madoa meusi, ukavu na kukosa mng’ao, lakini hawajui chanzo halisi cha hali hiyo. Mara nyingi hujaribu creams na sabuni mbalimbali bila kupata mabadiliko ya kudumu, hali inayoongeza kukata tamaa na kupunguza kujiamini.


Ukweli ni kwamba ngozi si suala la nje pekee; ni kioo cha afya ya ndani ya mwili wako. Mabadiliko ya homoni, lishe duni, unywaji mdogo wa maji, uchovu, na uchafu wa ndani wa mwili vina mchango mkubwa katika kuharibu afya ya ngozi. Ndiyo maana baadhi ya wanawake huona ngozi zao zinaendelea kuwa mbaya hata baada ya kutumia bidhaa nyingi za nje.


Katika makala hii, utajifunza sababu za kitabibu zinazoathiri ngozi ya mwanamke, chakula cha kula na cha kuepuka, kiwango sahihi cha maji kwa mwili wako, na jinsi ya kutumia virutubisho sahihi kuboresha ngozi kutoka ndani kwenda nje. Lengo si kukupa ahadi za haraka zisizo na msingi, bali kukupa uelewa na mwongozo wa vitendo wa kurejesha afya na mng’ao wa ngozi yako kwa njia salama na endelevu.

Curriculum

SEHEMU YA 1; Sababu za Matatizo ya Ngozi kwa Wanawake (Ukweli wa Ndani ya Mwili)
5 min
SEHEMU YA 2; Suluhisho la Kwanza – Lishe Sahihi na Unywaji wa Maji
6 min

SEHEMU YA 3; Usisubiri hadi ngozi yako ichafuke zaidi. Pata jinsi mwanamke mmoja alivyoona matokeo halisi baada ya kutumia suluhisho la ndani na bidhaa sahihi.
6 min
SEHEMU YA 4: Bidhaa Zinazobadilisha Ngozi, Nywele na Kucha Zako – Hapa Ndipo Matokeo Halisi Yanaanza Kuonekana
6 min
SEHEMU YA 5; Jinsi Hair, Skin + Nails, Keopi Glow na Barley Glow Zinavyofanya Kazi Kutoka Ndani Mwako – Matokeo Unaweza Kuyaona Haraka
6 min
SEHEMU YA 6; Kwa Nini Mchanganyiko Huu Una Thamani Kubwa
6 min
SEHEMU YA 7: Bei, Kifurushi na Kwanini Inastahili
6 min
SEHEMU YA 8: Kwa Nini Usisubiri
6 min
SEHEMU YA 9: Unachopata Zaidi Ukichukua Program Hii Sasa Hivi
6 min
SEHEMU YA 10: Guarantee – Dhamana & Uhakika kwa Mteja
6 min
SEHEMU YA 11: Hatua za Mwisho
6 min

🟢 JUMATATU – KUANZA DETOX (Kutoa Sumu) & KUBORESHA MNG'AO
5 min
🟢 JUMANNE – KULISHA NGOZI & UNYEVU
5 min
🟢 JUMATANO – KUPAMBANA NA CHUNUSI & MADOA
5 min
🟢 ALHAMISI – KUSAFISHA INI KWA KINA (LIVER SUPPORT)
5 min
🟢 IJUMAA – NGOZI & NYWELE (PROTEIN + OMEGA DAY)
5 min
🟢 JUMAMOSI – KUZUIA KUZEEKA MAPEMA (ANTIOXIDANTS DAY)
5 min
🟢 JUMAPILI – KUREJESHA MWILI & MNG'AO WA ASILI
5 min
Course Features
  • Access on Mobile & Desktop
  • Certificate of Completion
  • Lifetime Access
  • Instructor Support