In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Suppliment (Virutubisho Lishe)
Burn Slim: 1Rp
BURN SLIM
Aina: Programu ya lishe na tiba ya kupunguza uzito na kitambi
Lengo: Kupunguza uzito kwa usalama, kupunguza mafuta ya tumbo, kuboresha mmeng’enyo na kuongeza nishati kwa mpango wa siku 90.
FAIDA KUU
1. Kupunguza Uzito kwa Usalama
- Husaidia kushusha uzito bila kudhoofisha mwili.
- Huchangia kupungua kwa mafuta ya ziada taratibu na thabiti.
2. Kupunguza Kitambi na Mafuta ya Mwili
- Husaidia kuvunja mafuta ya tumboni na sehemu ngumu.
- Huboresha umbo la mwili na uwiano wa uzito.
3. Kuboresha Mmeng’enyo na Homoni
- Huchochea mmeng’enyo wa chakula na kusaidia uwiano wa homoni zinazohusiana na uzito.
4. Kuongeza Nishati
- Hupunguza uchovu wa mara kwa mara na kuongeza stamina ya mwili.
5. Msaada kwa Detox ya Mwili
- Huchangia kuondoa taka za kimetaboli na kusaidia afya ya ndani.
MAPENDEKEZO YA MATUMIZI
- Tumia kila siku kwa siku 90 mfululizo bila kuruka dozi.
- Panga mlo kwa uwiano: protini, wanga changa na mboga nyingi.
- Kunywa maji glasi 8–10 kwa siku.
- Fanya mazoezi mepesi hadi wastani (kutembea, kuruka kamba, mazoezi ya nyumbani).
- Epuka sukari nyingi na vyakula vya mafuta mengi.
MATOKEO YANAYOTARAJIWA
Siku 15–30
- Mwanzo wa kupungua kitambi na uzito.
Mwezi 1–2
- Kupungua kwa mafuta ya ziada, nishati kuongezeka.
Siku 60–90
- Kitambi kupungua zaidi, umbo la mwili kuboreka, uwiano wa homoni kuimarika, na matokeo kuwa thabiti.
USHAURI WA KITAALAMU
- Wenye kisukari, presha, magonjwa ya moyo/figo au wanaotumia dawa za hospitali wapate ushauri kabla ya kuanza programu.
- Matokeo hutegemea nidhamu ya lishe, maji, usingizi na mazoezi.
PAKEJI NA BEI
- Siku 5: Sh 37,000
- Siku 10: Sh 74,000
- Siku 15: Sh 110,000
- Mwezi 1: Sh 220,000
- Miezi 3: Sh 660,000
Au wasiliana: +255 767 716 093 (Simu/WhatsApp)
TSH 37,000
- Category Suppliment (Virutubisho Lishe)
- Availability 103 Units
- SKU PROD-d389a435-3b58-459e-96ce-0ee4c681b570