Angel E
In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Suppliment (Virutubisho Lishe)

Angel E

4.9 (128 Reviews)

ANGEL E – Support ya Asili kwa Homoni na Afya ya Uzazi wa Mwanamke


Maelezo ya Bidhaa

  • Jina: Angel E
  • Aina: Supplement ya asili kwa wanawake
  • Umbo: Tembe za kunywa
  • Mchanganyiko: Viambato vya asili vinavyosaidia kusawazisha homoni, afya ya uzazi na ngozi
  • Lengo Kuu: Kurekebisha homoni, kuboresha mzunguko wa hedhi, kuimarisha afya ya uke na kuongeza hamu ya tendo la ndoa


Faida Kuu za Angel E

1. Kurekebisha Homoni

Husaidia kusawazisha estrogen na progesterone, kurejesha mzunguko wa hedhi usio wa kawaida, kupunguza dalili za hormonal imbalance.

2. Kuimarisha Afya ya Uke

Husaidia kupunguza ukavu wa uke, kurejesha lubrication ya kawaida na kusaidia afya ya mazingira ya uke.

3. Kuongeza Hamu ya Tendo la Ndoa

Husaidia kuongeza libido kwa wanawake wenye changamoto ya kushuka kwa hamu kutokana na msongo wa homoni.

4. Kusaidia Uzazi

Husaidia kuandaa mwili kwa ujauzito kwa kusawazisha homoni na kuboresha mazingira ya uzazi.

5. Kuimarisha Afya kwa Ujumla

Huongeza nguvu za mwili, huboresha ngozi, na kusaidia kinga ya mwili kufanya kazi vizuri.


Mapendekezo ya Matumizi

  • Muda: Tumia kwa siku 90 mfululizo kwa matokeo bora
  • Njia: Tumia kama ulivyoelekezwa na mtaalamu wa afya
  • Kunywa maji ya kutosha, fuata lishe bora yenye vitamini na antioxidants
  • Epuka sukari nyingi na vinywaji vyenye kemikali zinazoweza kuvuruga homoni


Ratiba ya Matokeo

  • Mwezi 1 – Tsh 150,000
  • Mzunguko wa hedhi unaanza kuwa wa kawaida, uke unapata lubrication ya kawaida, libido inaanza kuongezeka
  • Miezi 2 – Tsh 300,000
  • Mzunguko wa hedhi unakuwa imara, ukavu wa uke hupungua, homoni zinaanza kusawazika vizuri
  • Miezi 3 – Tsh 450,000
  • Afya ya uzazi inaimarika, uwezekano wa kupata ujauzito unaongezeka, libido na afya ya uke vinaimarika kikamilifu


Ushauri wa Ziada

Kwa matokeo bora zaidi:

  • Fuata lishe yenye mboga za majani, matunda na protini bora
  • Kunywa maji ya kutosha kila siku
  • Fanya mazoezi mepesi kusaidia mzunguko wa damu na homoni


Kwa ushauri wa kitaalamu, mwongozo wa lishe ya homoni na kuagiza


Piga au WhatsApp: +255767716093


TSH 150,000

  • Category Suppliment (Virutubisho Lishe)
  • Availability 102 Units
  • SKU PROD-32a03388-917c-4248-b387-9b90069b3bca