In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Suppliment (Virutubisho Lishe)
Colon Detox
COLON DETOX – Usafishaji wa Utumbo Mpana kwa Afya Kamili ya Mwili
MAELEZO YA BIDHAA
Colon Detox ni kinywaji/virutubisho vya asili vinavyosaidia kusafisha utumbo mpana (colon), kuondoa taka na sumu zilizokusanyika muda mrefu, kuboresha mmeng’enyo wa chakula na kuimarisha afya ya mwili kwa ujumla. Hufanya kazi taratibu na salama bila kuharibu bakteria rafiki wa utumbo.
FAIDA KUU ZA MATUMIZI
- Husafisha sumu zilizoganda kwenye utumbo kwa muda mrefu
- Hupunguza kuvimbiwa, gesi tumboni na tumbo kujaa
- Huboresha mmeng’enyo wa chakula na ufyonzwaji wa virutubisho
- Husaidia kupunguza uzito na kitambi kwa kuondoa mabaki ya taka
- Huongeza nguvu na uchangamfu wa mwili
- Husaidia kwenye bawasiri, kutokwa damu na uvimbe wa utumbo
- Husaidia kupunguza dalili za vidonda vya tumbo
- Hurekebisha choo kisichoeleweka (kuharisha/kukaza)
- Hupunguza harufu mbaya ya mdomo inayotokana na uchafu wa utumbo
- Huboresha afya ya ngozi (chunusi, vipele, weusi)
- Huchangia kusawazisha homoni kupitia afya bora ya utumbo
- Huimarisha kinga ya mwili
- Hupunguza maumivu ya tumbo yanayotokana na uchafu wa ndani
- Husaidia mwili kufanya detox ya asili bila madhara
MATOKEO TARATIBU – TUMIA SIKU 90
Siku 1–15: Gesi, tumbo kujaa na choo kisicho sawa hupungua
Mwezi 1: Utumbo mwepesi, mmeng’enyo bora, ngozi huanza kung’aa
Miezi 3 (Siku 90): Usafishaji wa kina, uzito na kitambi hupungua, nguvu na afya ya mwili huongezeka
Ushauri wa kitaalamu: Tumia siku 90 mfululizo kwa matokeo kamili na ya kudumu.
NAMNA YA MATUMIZI
- Tumia kulingana na dozi uliyoelekezwa
- Kunywa maji ya kutosha kila siku
- Fuata lishe nyepesi yenye mboga na matunda kwa matokeo bora
BEI ZA DOZI
- Siku 15: Tsh 90,000
- Mwezi 1: Tsh 180,000
- Miezi 3: Tsh 270,000
NANI ATAFAIDIKA ZAIDI?
- Wenye kuvimbiwa sugu, gesi na tumbo kujaa
- Wanaotaka kupunguza uzito na kitambi
- Wenye ngozi isiyong’aa/chunusi
- Wenye uchovu wa mara kwa mara
- Wanaotaka detox salama ya mwili
COLON DETOX – Anza safari ya kusafisha mwili wako kutoka ndani.
Piga/WhatsApp: +255767716093
TSH 90,000
- Category Suppliment (Virutubisho Lishe)
- Availability 91 Units
- SKU PROD-3346c590-fed4-44d5-9614-1d5fcdeca5db