In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Suppliment (Virutubisho Lishe)
Choleduz Omega Supreme
CHOLEDUZ OMEGA SUPREME
Aina: Virutubisho vya Omega-3 (Fish Oil + Vitamin E) – Softgels
Lengo: Kusaidia afya ya moyo na mishipa, ubongo, macho, ngozi na kupunguza uchochezi mwilini.
MUUNDO WA VIRUTUBISHO (KILA SOFTGEL)
- Omega-3 Fatty Acids: ~700 mg
- DHA: ~500 mg
- EPA: ~200 mg
- Vitamin E: ~10 IU (antioxidant)
FAIDA KUU
1. Afya ya Moyo na Mishipa
- Huchangia kupunguza LDL na kusaidia kuongeza HDL.
- Msaada kwa udhibiti wa shinikizo la damu na kupunguza hatari ya moyo/ kiharusi.
2. Ubongo na Kumbukumbu
- DHA & EPA husaidia utendaji wa ubongo, kumbukumbu na afya ya neva.
- Msaada kwa ulinzi wa ubongo dhidi ya uharibifu wa muda mrefu.
3. Kupunguza Uvimbe (Anti-Inflammatory)
- Husaidia kupunguza uchochezi mwilini.
- Msaada kwa maumivu ya viungo (magoti, mgongo) yanayohusiana na uvimbe.
4. Afya ya Macho na Ngozi
- Husaidia afya ya retina/macho.
- Huchangia ngozi kuwa laini na yenye afya.
5. Afya ya Uzazi na Ujauzito
- Omega-3 ni muhimu kwa ukuaji wa ubongo na macho ya fetasi.
- Inaweza kusaidia kupunguza hatari ya uzito mdogo wa mtoto (chini ya ushauri wa mtaalamu).
6. Kinga na Ustawi wa Mwili
- Huchangia kuimarisha kinga na kusaidia utendaji wa mifumo ya mwili.
JINSI YA KUTUMIA
- Dozi ya kawaida: Softgel 1–2 kwa siku, kabla ya mlo au kama mtaalamu anavyoelekeza.
- Kwa matokeo thabiti, tumia miezi 3 mfululizo (siku 90).
MPANGO WA SIKU 90
- Wiki 1–4: 1 softgel/siku – Kuanzisha mwili kupokea Omega-3.
- Wiki 5–8: 1–2 softgels/siku – Kuongeza msaada kwa moyo na ubongo.
- Wiki 9–12: 2 softgels/siku – Kuimarisha macho, ngozi na viungo.
- Endelea: 1–2/siku – Kudumisha afya na kinga.
USHAURI WA KITAALAMU
- Wenye shinikizo la damu, cholesterol juu, wanaotumia dawa za kupunguza damu (anticoagulants), wajawazito/wananyonyesha au wenye magonjwa sugu wapate ushauri kabla ya matumizi.
- Omega-3 huchukua muda; fuata mpango kikamilifu ili kuona manufaa ya EPA/DHA.
BEI
- Siku 15: Sh 125,000
- Mwezi 1: Sh 250,000
- Miezi 3: Sh 750,000
Au wasiliana: +255 767 716 093 (Simu/WhatsApp)
TSH 125,000
- Category Suppliment (Virutubisho Lishe)
- Availability 1 Units
- SKU PROD-bebccae7-6d34-422f-a62c-3730518fb3f1