In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Suppliment (Virutubisho Lishe)
JointFlex
JOINTFLEX – MSAADA KWA MAUMIVU YA VIUNGO, MIFUPA NA MISULI
Aina: Kirutubisho cha lishe cha kusaidia afya ya viungo, mifupa, misuli na mishipa ya fahamu.
Lengo: Kupunguza maumivu, kuboresha uhamaji wa viungo, kupunguza uvimbe na kusaidia utendaji wa kawaida wa mwili.
FAIDA KUU
1. Kurejesha Afya ya Viungo
- Husaidia kupunguza maumivu ya magoti, nyonga, mabega na viwiko.
- Huchangia kulainisha viungo vilivyokaza na kuongeza joint lubrication.
2. Kuimarisha Mifupa na Misuli
- Huchangia uimara wa mifupa dhaifu.
- Hupunguza maumivu ya misuli na kuchoka, kusaidia misuli kufanya kazi vizuri.
3. Kupunguza Uvimbe na Maumivu ya Muda Mrefu
- Husaidia kupunguza uvimbe wa viungo.
- Msaada kwa dalili za arthritis/rheumatism na maumivu yanayojirudia.
4. Kuboresha Uwezo wa Kutembea na Kufanya Kazi
- Husaidia magoti yanayokwama, hurahisisha kusimama, kukaa na kutembea.
- Huchangia kurejesha uwezo wa kufanya shughuli za kila siku.
5. Msaada kwa Mishipa ya Fahamu
- Husaidia kupunguza ganzi mikono/miguu na maumivu ya neva (nerve pain).
- Huchangia utulivu wa mfumo wa fahamu.
MATOKEO YANAYOTARAJIWA (MPANGO WA SIKU 90)
Siku 1–15
- Maumivu kuanza kupungua taratibu, viungo kulegea, usingizi na mzunguko wa damu kuboreka.
Mwezi 1
- Kupungua kwa maumivu makali na uvimbe, uhamaji kuongezeka.
Miezi 3 (Siku 90)
- Viungo kuwa imara na laini, maumivu ya muda mrefu kupungua sana, ubora wa maisha kuongezeka.
Matokeo bora hupatikana kwa matumizi ya miezi 3 mfululizo bila kukatiza.
MAPENDEKEZO YA MATUMIZI
- Tumia kila siku kulingana na maelekezo ya mtaalamu.
- Kunywa maji ya kutosha na endelea na mazoezi mepesi ya kunyumbua viungo.
- Epuka kukatiza kabla ya siku 90 ili kudumisha matokeo.
USHAURI WA KITAALAMU
- Wenye magonjwa sugu (kisukari, presha, figo/ini, gout), wajawazito/wananyonyesha au wanaotumia dawa za hospitali wapate ushauri kabla ya matumizi kwa kutumipigia kwa namba iliyopo hapo chini
- Ikiwa maumivu ni makali sana, yanaambatana na uvimbe mkubwa, homa au kuvimba kwa ghafla, tafuta tathmini ya kitabibu.
PACKAGING
- Chupa imara, salama na rahisi kubeba.
- Hulinda ubora wa kirutubisho hadi mwisho wa matumizi.
BEI
- Siku 15: Tsh 140,000
- Mwezi 1: Tsh 280,000
- Miezi 3 (Siku 90): Tsh 840,000 (Pendekezwa kwa matokeo ya kudumu)
Au wasiliana: +255 767 716 093 (Simu/WhatsApp)
TSH 140,000
- Category Suppliment (Virutubisho Lishe)
- Availability 98 Units
- SKU PROD-97beaabb-7f1b-49bd-b9ff-0de48ed3edbc