D-Supreme
In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Suppliment (Virutubisho Lishe)

D-Supreme

4.9 (128 Reviews)

D-SUPREME

Aina: Kirutubisho cha asili (Supplement) cha kusaidia nguvu za mwili, usawa wa homoni na afya kwa ujumla.

Lengo: Kupunguza uchovu, kusaidia mfumo wa homoni, kuimarisha kinga na kusaidia afya ya uzazi.


MAPENDEKEZO YA MATUMIZI

  • Tumia siku 90 mfululizo kwa matokeo bora.
  • Dozi: Tembe 1–2 kwa siku (asubuhi na jioni) kulingana na hali ya mwili na ushauri wa mtaalamu.
  • Changanya na lishe bora, maji ya kutosha, usingizi mzuri na mazoezi mepesi.


FAIDA KUU

1. Kuongeza Nguvu za Mwili

  • Hupunguza uchovu na huongeza stamina ya kila siku.


2. Kusawazisha Homoni

  • Husaidia uwiano wa homoni za kike na kiume.
  • Huchangia kuboresha mzunguko wa hedhi na kuongeza libido.


3. Kusaidia Afya ya Uzazi

  • Kwa wanawake: husaidia ute wa uzazi, afya ya uke na uterasi.
  • Kwa wanaume: huchangia nguvu za kiume na uimara.


4. Msaada kwa Kuondoa Taka za Kimetaboli

  • Huchangia kupunguza mzigo wa toxini unaoweza kuathiri ngozi, uzito na uchovu.


5. Kuimarisha Kinga ya Mwili

  • Husaidia mwili kupambana na maambukizi na kulinda viungo vya ndani.


6. Kusaidia Udhibiti wa Uzito

  • Pamoja na lishe sahihi, huchangia kupunguza mafuta na kitambi.


7. Afya ya Ngozi, Nywele na Kucha

  • Husaidia ngozi kuwa na mng’ao, nywele na kucha kuwa na nguvu.


8. Kuongeza Umakini wa Akili

  • Huchangia kumbukumbu, umakini na utendaji wa kila siku.


MATOKEO KWA MPANGO WA SIKU 90

  • Siku 15–30: Nguvu kuongezeka, uchovu kupungua, mzunguko wa hedhi kuanza kuwa thabiti.
  • Siku 31–60: Ngozi kung’aa, mabadiliko ya uzito kuanza, libido kuimarika.
  • Siku 61–90: Nguvu kamili, usawa wa homoni, afya ya uzazi na kinga kuimarika.


USHAURI WA KITAALAMU

  • Wajawazito/wananyonyesha, wenye kisukari, presha, moyo, figo/ini au wanaotumia dawa za hospitali wapate ushauri kabla ya matumizi.
  • Matokeo hutegemea ufuataji sahihi wa dozi, lishe na mtindo wa maisha.


RATIBA YA MALIPO

  • Mwezi 1: TSH 90,000
  • Miezi 2: TSH 180,000
  • Miezi 3: TSH 270,000


MAELEZO ZAIDI


Au wasiliana: +255 767 716 093 (Simu/WhatsApp)

TSH 90,000

  • Category Suppliment (Virutubisho Lishe)
  • Availability 100 Units
  • SKU PROD-7e97cdf4-d7e1-4f8c-b1b7-dd9f1e2b4533