In Stock
Delivery
24-48 Hours
Warranty
Authentic Guaranteed
Gummies (Peremende/Pipi)
Super Focus
SUPER FOCUS
Aina: Kirutubisho cha lishe cha kusaidia afya ya ubongo na mfumo wa neva
Lengo: Kuongeza umakini, kumbukumbu, kasi ya kufikiri na kupunguza uchovu wa akili.
INAFaa KWA NANI
- Wanafunzi wanaohitaji mkusanyiko wa muda mrefu.
- Wataalamu wa ofisini/biashara wanaohitaji maamuzi sahihi na ya haraka.
- Watu wanaosahau mara kwa mara, kuchoka akili au kupungua umakini.
- Wanaotaka kuongeza ubunifu, ufanisi na utulivu wa akili.
FAIDA KUU
1. Kuongeza Umakini
- Husaidia focus ya muda mrefu bila kusinzia.
2. Kuboresha Kumbukumbu
- Huchangia kumbukumbu ya muda mfupi na mrefu.
3. Kupunguza Uchovu wa Akili
- Husaidia kupunguza mental fatigue na msongo wa mawazo.
4. Kuongeza Kasi ya Kufikiri
- Huchangia kuelewa na kuchakata taarifa kwa haraka.
5. Kudhibiti Mawazo na Kuimarisha Focus
- Husaidia kupunguza mawazo yanayokatiza mkusanyiko.
6. Kuboresha Utendaji wa Ubongo
- Huongeza ufanisi kazini, darasani na kwenye mawasilisho.
7. Kuongeza Kujiamini
- Husaidia utayari wa kiakili kwenye mitihani, mikutano na kazi za ubunifu.
MATOKEO YANAYOTARAJIWA (MPANGO WA SIKU 90)
Siku 1–15
- Kuongezeka kwa umakini, akili kuwa nyepesi, kupungua kusinzia.
Mwezi 1
- Kumbukumbu kuimarika, kufikiri kwa haraka, kupungua kusahau.
Miezi 3
- Umakini thabiti wa muda mrefu, utendaji bora wa akili, ufanisi mkubwa kazini/masomoni.
Matokeo huimarika ukiunganisha na usingizi wa kutosha, maji ya kutosha na mpangilio mzuri wa kazi.
NAMNA YA MATUMIZI
- Tumia kila siku kulingana na maelekezo ya kifurushi.
- Pendekezwa kutumia siku 90 mfululizo kwa matokeo ya kudumu.
PACKAGING
- Chupa imara yenye kifuniko salama.
- Maelekezo na muda wa matumizi yameandikwa wazi.
- Rahisi kubeba na kuhifadhi; husaidia kulinda ubora wa virutubisho.
BEI
- Siku 15: TSh 115,000
- Mwezi 1: TSh 230,000
- Miezi 3: TSh 690,000 (Kifurushi kinachopendekezwa kwa matokeo thabiti)
USHAURI WA KITAALAMU
- Wenye presha, kisukari, matatizo ya usingizi au wanaotumia dawa za mfumo wa neva wapate ushauri kabla ya matumizi.
- Epuka kutumia karibu sana na muda wa kulala ikiwa unaathiriwa na viambato vinavyoamsha akili.
Au wasiliana: +255 767 716 093 (Simu/WhatsApp)
TSH 115,000
- Category Gummies (Peremende/Pipi)
- Availability 96 Units
- SKU PROD-a2f4a991-0965-463d-832d-b0e327ca4012