Diabetic Package; Dozi ya Mwezi 1 (Dozi kamili Miezi 3)

Diabetic Package; Dozi ya Mwezi 1 (Dozi kamili Miezi 3)

TSH 380,000

🩸 FAIDA ZA DIABETES PACKAGE (DIABETIC PACK)

Kutoka Okoa Mwili Natura-Ceutic Clinic



✅ FAIDA KUU:


1. Hurekebisha homoni ya Insulin

– Husaidia kongosho kuzalisha au kutumia insulin kwa ufanisi.


2. Hudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu

– Inasaidia kuepusha milipuko ya sukari (hyperglycemia) na kushuka kwa ghafla (hypoglycemia).


3. Huboresha mzunguko wa damu

– Kupunguza hatari ya kuganda kwa damu, presha, na matatizo ya moyo.


4. Hutibu madhara ya kisukari kwenye viungo mbalimbali:

– Neuropathy (ganzi & maumivu ya neva)

– Retinopathy (macho)

– Nephropathy (figo)

– Gastropathy (matatizo ya mmeng’enyo)

– Foot ulcers (vidonda miguuni)


5. Huimarisha afya ya uzazi na macho kwa wenye kisukari

– Husaidia wanawake na wanaume wanaokabiliwa na matatizo ya uzazi kutokana na kisukari.


6. Hukausha na kutibu vidonda vya kisukari

– Vidonda vikavu haraka bila kuambukiza au kupelekea kukatwa viungo.


7. Hutibu ganzi na maumivu ya mishipa ya fahamu (neva)

– Kupunguza maumivu ya moto, kuchoma, au ganzi miguu/mikononi.



💰 BEI ZA DOZI:


-Mwezi 1: Tsh 380,000/=

-Miezi 3: Tsh 1,140,000/=



🔄 MATUMIZI:


Kupata matokeo ya haraka, na ya uhakika, tumia tiba hii kwa miezi 3 mfululizo

Package Contents

  • C24/7 Natura-Ceutical Product
    x2
  • Restolyf Product
    x1