Nails Package (Afya Kucha); Dozi ya Mwezi 1
TSH 305,000
NAILS PACKAGE – FAIDA 10 KWA AFYA YA KUCHA kwa matokeo ya haraka
-Husaidia kucha kukua haraka na kwa nguvu bila kuvunjika
-Huimarisha kucha dhaifu na zinazopasuka kirahisi
-Hutibu kucha kung’oka au kupasuka vipandevipande
-Husaidia kurejesha rangi ya asili ya kucha
-Huongeza unyevunyevu kwenye kucha na ngozi inayozunguka kucha
-Hutibu kucha kukauka na kuwa ngumu
-Husaidia kucha kuwa nene na imara zaidi
-Huboresha muonekano wa kucha ziwe laini na zenye mvuto
-Husaidia kucha kukaa sawa bila mipasuko
-Huchangia afya ya kucha kwa ujumla kwa matumizi ya mfululizo
👉 Ushauri: Tumia Nails Package (Hair, Skin + Nails au Keopi Glow au Barley Glow) kwa miezi 3 mfululizo ili kupata matokeo ya haraka na yanayoonekana.
💰 Bei:
-Dozi ya mwezi 1: Sh 305,000
-Dozi ya miezi 3: Sh 915,000
Kwa maelezo zaidi na ushauri sahihi wa matumizi, wasiliana nasi.
Kupata matokeo mazuri na ya uhakika, nakushauri kutumia tiba hizi kwa miezi 3 mfululizo.
Package Contents
-
Keopi Glow Productx3
-
Hair, Skin+Nails Productx1