HORMONAL & MENSTRUAL BALANCE PACKAGE; Dozi ya Mwezi 1

TSH 184,000

HORMONAL & MENSTRUAL BALANCE PACKAGE


Package hii ina tiba za asili; ni suluhisho la asili lililoundwa kwa wanawake wenye mvurugiko wa homoni za uzazi. Hapa kuna faida 10 za msingi:


-Kusawazisha homoni za uzazi – husaidia kurekebisha mzunguko wa hedhi.

-Kupunguza hedhi zisizo za kawaida – kama kuchelewa, kupita kiasi au kupata mara mbili kwa mwezi.

-Kupunguza maumivu ya hedhi (dysmenorrhea) – mwili unapata nafuu wakati wa kipindi.

-Kuimarisha ovulation – kuongeza nafasi ya kushika ujauzito kwa wanawake wanaopanga ujauzito.

-Kuondoa dalili za PMS kali – kama msongo wa mawazo, uchovu na mabadiliko ya hisia.

-Kusaidia kutibu fibroids ndogo na cysts za ovari – kwa ufanisi wa asili bila kemikali hatarishi.

-Kuboresha afya ya mfuko wa uzazi – kusafisha uchafu na kuimarisha mazingira ya uzazi.

-Kuongeza hamu ya tendo la ndoa – mwili unarejelea usawa wa homoni za mapenzi.

-Kuimarisha ngozi na nywele – kutokana na msaada wa homoni katika mwili.

-Kuongeza nguvu na stamina ya mwili – kupunguza uchovu unaohusiana na mvurugiko wa homoni.


Bei za HORMONAL & MENSTRUAL BALANCE PACKAGE:


-Siku 15: Tsh 92,000

-Mwezi 1: Tsh 184,000

-Miezi 3: Tsh 552,000


Kupata matokeo mazuri na ya uhakika, nakushauri kutumia tiba hizi kwa miezi 3 mfululizo.

Package Contents

  • Complete Phytoernegizer Product
    x1
  • Angel E Product
    x3