Natural Detox Pack; Dozi ya Mwezi 1
TSH 207,000
UKIAMKA MWILI UKIWA MCHOVYU, TUMBO KUJAA, MIGUU KUJAA AU NGOZI NA MACHO KUWA NA RANGI YA NJANO – JIHADHARI!
-Hizi ni dalili zinazoweza kuashiria tatizo la ini (liver dysfunction). Ini likiwa dhaifu, linashindwa kusafisha damu na kuondoa sumu mwilini, hivyo mwili mzima unaanza kuathirika.
👉 Tunashauri utumie C24/7 pamoja na Liver Care kwa sababu vinasaidia mwili mzima katika njia zifuatazo:
🌿 FAIDA KWA MWILI NA VIUNGO VYOTE
-Ini (Liver): Husafisha sumu mwilini, kulinda seli za ini zisiharibike, na kurejesha nguvu za ini.
-Mfumo wa kumeng’enya chakula (Digestive System): Huboresha usagaji chakula, kupunguza kuvimbiwa na gesi tumboni.
-Mfumo wa damu (Circulatory System): Husafisha damu, kuboresha mzunguko wa damu na kuzuia mishipa kuziba.
-Moyo (Heart): Hulinda moyo dhidi ya shinikizo la damu, mafuta mabaya (cholesterol) na kuimarisha mapigo yake.
-Figo (Kidneys): Hupunguza mzigo wa figo kwa kusaidia kuondoa sumu mwilini na kulinda kazi zake.
-Mfumo wa kinga (Immune System): Huimarisha ulinzi wa mwili dhidi ya magonjwa ya mara kwa mara.
-Ngozi na macho (Skin & Eyes): Hurejesha mng’ao wa ngozi, kuondoa njano, na kuboresha afya ya macho.
-Mfumo wa neva (Nervous System): Hupunguza uchovu, maumivu ya kichwa, msongo wa mawazo, na kuboresha usingizi.
-Mfumo wa uzazi (Reproductive System): Huimarisha homoni na kuleta uwiano bora wa afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake.
-Mfumo wa mifupa na viungo (Skeletal & Muscular System): Huimarisha nguvu za misuli na mifupa, kupunguza uchovu na maumivu ya viungo.
🌟MATOKEO HALISI YA KUSAFISHA MWILI WAKO
-Ini linaanza kufanya kazi kama kichujio hai cha mwili ndani ya siku chache
-Badala ya kuchoka na kulegea, ini linaanza kusafisha damu, kuvunja sumu na kusaidia mwili kujirekebisha upya kutoka ndani.
-Gesi tumboni, tumbo kujaa, uzito na uchovu huanza kupungua bila kujilazimisha
-Mwili unapotoa sumu, mfumo wa mmeng’enyo unakuwa mwepesi, tumbo linapungua taratibu na nguvu za mwili zinaanza kurudi.
-Homoni zinapata uwiano wake, ngozi inaanza kung’aa na nguvu za mwili zinaongezeka
-Dalili kama hedhi zisizoeleweka, ngozi kukosa mwanga, uchovu wa kila siku na kukosa hamu ya kazi huanza kupungua kwa kiasi kikubwa.
-Kinga ya mwili inaanza kuimarika, magonjwa ya mara kwa mara yanapungua
-Mwili unapokuwa safi ndani, seli za kinga hufanya kazi vizuri zaidi, hivyo homa, mafua na maambukizi ya mara kwa mara hupungua.
-Maumivu yasiyoeleweka mwilini huanza kupotea taratibu
-Maumivu ya kichwa, mgongo, viungo na mwili mzima ambayo hayana chanzo cha wazi huanza kupungua kadri sumu zinavyoondolewa mwilini.
Yote haya ni matokeo ya C24/7 Natura-Ceutical na Liver Care
💰 BEI ZA MATUMIZI:
-Kwa mwezi: Tsh 207,000
-Kwa miezi 3: Tsh 621,000
-Usisubiri viungo vyako kukuelemea, na Magonjwa sugu kukushambulia.
-Kupata matokeo mazuri na ya uhakika, nakushauri kutumia tiba hizi kwa miezi 3 mfululizo.
Package Contents
-
C24/7 Natura-Ceutical Productx1
-
Liver Care Productx1